"Wachambuzi mnasema Makolo ni team kubwa sana na Viongozi wao wanajinasibu hivyo ,,Club kubwa haiwezi kufanya Ushirikina hadharani,,haiwezi kuwanga huku Tv zikiwa zinaonyesha,,haiwezi kuroga huku Afrika ikutuangalia.
Visit Tanzania mliyopewa mvae imeiambia dunia njooni Tanzania kuna uchawi wa moto, tena msivyo na haya mmewanga ndani ya Mwezi wa Ramadhani,,ilhali Viongozi wengi wa team yao ni Waislaam,,,Mungu atatubariki vp kama tunawanga ktk Mwezi huu wa Toba?? Taifa limefedheheshwa, Watanzania tumedhalilishwa, football yetu imanajisiwa.
Halaf ndio mnatwambia tuwaige,,tuige kurogana? Tuige kuwanga? Tuige Shirki?
Mm kuweka ile Video ya kishirikina ktk page hii siwezi,,naona aibu, good luck rafiki yangu @shaffihdauda_ amepost ila amesema ni mind game,,,uhhhhh mind game ya kukalia moto hadharani na kuusalindia?
Shame On You...kolo fc" Haji Manara
Post a Comment