Deshant Adhikari(16) toka nchini Nepal amezaliwa na kuota mkia wa nywele na kuhusiahwa na nguvu za kimungu. Mkia huo umeota nyuma ya kiuno
Akihojiwa amesema awali alikuwa hajiamini na mwenye aibu na kusemwa vibaya na watu baada ya wazazi wake kuhangaika hospitali kadhaa apate matibabu mkia huo wa nywele usiote lakini ukaendelea kuota
Mungu ambao walishauri nywele za mkia huo zisochanwe wala kukatwa na kitu chochote kwani kijana huyo inawezekana pia kuna nguvu flani za kimungu amezaliwa nazo
Na baada ya watumishi hao wa Mungu kushauri hivyo hata dhihaka alizokuwa akipata toka kwa watu mbalimbali zimekoma na yeye kwasasa anajiamini na haufichi tena mkia wake
Post a Comment