Klabu ya soka ya Wydad Casablanca Yamshitaki MSUVA Fifa


Klabu ya soka ya Wydad Casablanca imepeleka malalamiko yake FIFA kwenye idara ya usuluhishi juu ya mchezaji wao raia wa Tanzania Simon Msuva kukiuka vigezo na masharti vilivyopo kwenye mkataba wake. Wydad wanadai Msuva aliondoka klabuni hapo bila kutoa taarifa kwa mtu yeyote.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post