Harmonize Aendelea Kuweweseka Kwa Kajala, Amnunulia Vito vya Dhahabu vya Milioni 5


Muendelezo wa mwanamuziki @harmonize_tz kumuomba msamaha kwa aliyekua mpenzi wake @kajalafrida unaendelea ambapo safari ameamua kununua vito vya dhahabu venye thamani ya kiasi cha million 5 za kitanzania kwa ajili ya mpenzi wake huyo.


Konde Boy ametumia insta story yake kuweka wazi gharama za vito hivyo alivyotaja kuwa kama zawadi kwa ajili ya aliyekua mpenzi wake huyo wa zamani.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post