Harmonize Adai Kuanzia Sasa Hatomzungumzia Tena Kajala Hadharani


Staa @harmonize_tz Amesema Kuanzia sasa hato zungumzia tena Hazarani Hisia zake kwa Ex wake @kajalafrida ,Licha ya hivyo lakini bado Anasisitiza kutamani Kumrudisha Jeshini Mrembo huyo.

Neno Moja kwa @harmonize_tz



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post