Gigy Money Amjibu Mo Jay Kuhusu Mtoto Wao Kuishi Katika Madhingira Magumu


26 April ya kila mwaka uwa ni kumbukumbu ya mtoto wa @gigy_money_og pamoja na @moj360 , Myra ambaye mwaka huu ametimiza miaka minne. Kama sehemu ya kumuwish mwanae, Baba Mzazi wa Myra ambaye pia ni mtangazaji wa Clouds Fm, Mo Jay ameonyesja ni namna gani anavyo mpenda mwanae lakini pia akiapa kupambana kumtoa kwenye mazingira hatari anayoishi hivi sasa.


Gigy Money ambaye yupo na mtoto,amepost video Clip ambayo Myra anatapika Kiingereza,huku akiambatanisha caption ambayo inajibu madai ya Mo Jay kuwa Mayra anaishi kwenye Mazingira hatari. Tafsiri ni kuwa Myra yupo kwenye mazingira salama na ndio maana ana uwezo wa kuongea Lugha ya kigeni ambayo anafunzwa shuleni.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post