Diva Achafukwa "Jina Langu Limekuwa Likitumika Kwa Kila Anayetaka Kiki, Nampeleka Mtu Mahakamani"


Kutoka Kwenye Ukurasa wa Divatheebawse ameandika haya"

"on behalf of Divas Crew!.
Jina Langu linekuwa likitumika na kila anaetaka KIKI Mjini .. na Picha zangu zikiunganishwa!. nimeona interview ambayo nimeingizwa kwenye vitu au vita isionihusu ...
Wengi wameniomba nitoe statement wengine wameniomba nifanye interview but My Reaction is LEGAL , tayar my lawyer is on it by monday nafikiri atamfikia mlengwa kwa ajili ya mahakamani,
If you guys know me i have a very good heart Im such a sweetheart lakini Pia mtata kwelikweli ...kama kuna mwengine anahisi anaeza kaa niongelea tena vile akat sina ubaya nae ajue kabisa yuko ktk hatari ya kisheria zaidi. na won't take Bull kabisa. kuna vya kuacha na kuna vya ku deal navyo legal. now this is legal.
siku zote watu wamekuwa wakinianza mpaka nitapo react ndio naonekana mbaya ' but sinaga baya ... Yan Im such a sweetheart tukitoa my attitudes as a woman and as a Diva!.
I build my brand sana sana sana nimesimama hasaa kwenye brand yangu ndio maana mpaka leo niko hapa nilipo. hivyo siko tayar kuendelea entertain udhalilishaji uliopindukia.
as a Celebrity huwa najitahid sometimes kuelewa vitu but kuna vitu Pia have to deal with ... nimefanya vipimo leo for that as well and Im negative in almost everything sina ugonjwa wowote , nimefanya for legal reason mchana. namshukuru Mungu sana everything is attached kwa ajil ya mahakamani.
hivyo tayar legal action zinachukuliwa dhidi ya muhusika aliekaa kuniongelea kwa sababu zake binafsi za maumivu na hasira labda sijaelewa why alikuwa very comfortable kuniongelea .. na itakuwa ni fundisho Pia kwa wengine. i have the best lawyer sana sana sana. my name will be cleared in the court of law bila ata kupepesa macho nimekuwa very serious in this. we have all the evidence needed in the flash and etc. after this hii issue sitai adress na kwasasa sitafanya any interview nimekataa kabisa. i wil Protect my brand at any cost.
on belhalf of my crew n my fans .. I want everyone to know Diva, does not support or condone bullying or violence, in any form.
Thank You" Diva


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post