Diamond Platnumz Kufunga Ndoa Leo? Kafunguka Kualika Watu Wachache Kuhudhuria Tukio Lake


Ni headlines za mwanamuziki @diamondplatnumz ambae ametangaza kutoa mualiko kwa watu wachache watakao hudhuria shughuli yake siku ya kesho April 11' lakini hafla ya pamoja itafuata.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Diamond ameweka wazi hilo na kueleza kuwa kwa watu ambao watakua nyumbani basi watashuhudia shughuli hiyo kupitia kituo chake cha television Wasafi Tv.


Bado mpaka sasa haijawa wazi ni shughuli gani itakayo kwenda kufanyika siku ya kesho, huku kukiwa na minong'ono ya kwamba huenda mwanamuziki huyo anakwenda kufunga ndoa.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post