Wengi Usiku wa Jana walitarajia Diamond Atamtangaza Mpenzi wake lakini Haikuwa hivyo Bali ilikuwa ni kiki tu ya Ubalozi Mpya Ambao ameaupata
Itoshe Kusema tu, It’s another Win For SIMBA, Diamond Platnumz ametambulishwa Rasmi kuwa Brand Ambassador wa Airtel tanzania .
Post a Comment