Michezo, Matokeo, ajira, Livescore,msimamo wa ligi
Ali Kiba Mtunzi Bora Mashairi na Melodi, Tuzo Music
bymafekeche-
0
King @officialalikiba ameshinda tuzo ya mtunzi bora wa melodi na mashahiri kupitia wimbo wake wa UTU. Jukwaani amepanda @yogobeats na @k2ga_tz kumuwakilisha Alikiba ambaye yupo nje ya nchi
Post a Comment