Siku chache baada ya Mwigizaji, Will Smith kumpiga kibao Mwigizaji mwenzake, Chris Rock katika Tuzo za Oscar, Waandaaji wa tuzo hizo 'The Academy' wameanza rasmi mchakato wa kuchukua hatua za kinidhamu dhidi yake
-
Uamuzi rasmi unategemewa kutolewa Aprili 18, 2022 baada ya kikao cha mwisho cha Bodi ya Magavana wa Academy, na #WillSmith anaweza kukumbana na adhabu kama kusimamishwa kuwania tuzo hizo au kunyang'anywa tuzo aliyoshinda
#JFEntertainment #ChrisRock #OSCAR2022
Post a Comment