Will Smith Amchapa Kofi Chris Rock Jukwaani Kwenye Hafla ya Tuzo za Oscars


Will Smith amchapa kofi Chris Rock jukwaani kwenye hafla ya tuzo za Oscars usiku wa kuamkia leo. Hii ni baada ya Chris Rock kuleta utani kwa mke wa Will Smith, Jada unaotajwa kumchefua Smith.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post