Wanamuziki 8 Wanaoongoza Boomplay Kwa Idadi ya Wasikilizaji Wengi Africa, Tanzania Hatumo


Kulingana na mtandao wa boomplay hii ni takwimu ya orodha ya wanamuziki 8' kutoka barani Africa wenye idadi kubwa ya streaming katika mtandao wa @boomplaymusic ambapo kwa kiasi kikubwa imetawaliwa na wanamuziki kutoka nchini nigeria.
-
1. Burna Boy🇳🇬 - 217.3 million
2. Joeboy🇳🇬 - 216.5 million
3. Fireboy 🇳🇬- 198 million
4. Omah Lay 🇳🇬- 171.2 million
5. Olamide 🇳🇬- 162 million
6. Kizz Daniel 🇳🇬- 158.3 million
7. Davido🇳🇬 - 110.8 million
8. Wizkid 🇳🇬- 108.8 million

Usisahau kuwa mwanamuziki @rayvanny ndie msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki akiiwakilisha Tanzania 🇹🇿mwenye jumla ya streams million 100 katika mtandao huo wa boomplay.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post