Wakati Huku Kwetu Bongo Kuna stori ya Harmonize na Kajala, Kwingineko kuna stori ya Mane na Senegal yake kwenda World Cup


Wakati Huku Kwetu Bongo Kuna stori ya Harmonize na Kajala 

Kwingineko kuna stori ya Mane na Senegal yake kwenda World Cup, Misri wamelala yoooooo 

Senegal 1-0 Misri (Dia 3’) (agg 1-1)
Senegal wanafuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia 2022 kwa mikwaju ya penati 3-1


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post