Kama ulifikiri matukio kuhusu Extended Playlist ya #FOA yameisha basi umekosea, na taarifa ni kwamba mapema wiki hii siku ya jumatano mwanamuziki @diamondplatnumz anakwenda kufanya uzinduzi mwingine kuhusu EP yake hiyo.
Ni Uzinduzi wa video zinazopatikana katika EP yake ya FOA ambao kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram ametangaza kuwa uzinduzi huo utafanyika tarehe 23.03.2022, huku akieleza kuwa kila kitu kitakua tofauti.
Post a Comment