Steve Nyerere Apata Shavu Yanga Baada ya Kubwaga Manyaga Shirikisho la Mziki


Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amemteua msanii wa filamu, Steven Mengere maarufu Steve Nyerere kuwa msemaji msaidizi wa klabu hiyo baada ya kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT).

Uteuzi huo uliofanyika leo Jumanne, Manara amesema Steve Nyerere atakuwa akiisemea Yanga katika mitandao ya Kijamii na hatahusika katika kuita press na waandishi wa habari.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post