HomeUdaku Steve Nyerere Ahoji Ubunge wa Mwana FA "Ulishindwa Uchaguzi" bymafekeche -Wednesday, March 23, 2022 0 Steve Nyerere amesema ameshangazwa na Msanii na Mbunge Mwana FA kumkataa kuwa Msemaji wa Wasanii kwa madai kuwa hana sifa. Ameuliza je yeye anazo sifa za kuwa Mbunge?, Je alishinda uchaguzi?.
Post a Comment