Kwenye Podcast ya “Million Dollaz Worth of Game” Rapper Snoop Dogg amesema 50 Cent atabaki kuwa Gwiji La Rap Milele kutokana na ushawishi wake usiofutika kwenye muziki wa hip-hop na zaidi kwenye maisha'
Snoop amesema "50 Cent atabaki kuwa Legend wa rap milele, rekodi zake, muziki wake, filamu zake, Amebadilisha mchezo mzima mjini New York na kuwapa matumaini watu wa New York, Amegundua njia, amefanya na amefanikiwa, Mimi ni mwanafunzi wake sasa, Ninajaribu kujifunza kutoka kwake, Ni kweli, unaweza kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya, ikiwa yuko tayari kusikiliza".
JE 50 CENT NI MIONGONI MWA LEGENDS WA RAP ?
Post a Comment