RAFIKI NI MTU WA KARIBU KABISA, NI MTU PEKEE AMBAE ANAWEZA KUKUPA MSAADA UNAPOKWAMA, NI MSHAURI WAKO UNAPOHITAJI USHAURI UNAOJENGA, RAFIKI HATANGULIZI PESA MBELE PANAPOHITAJIKA ATENDE JAMBO KWA AJILI YAKO ANATANGULIZA UPENDO NA HURUMA YAKE KWA AJILI YAKO, URAFIKI NI KUSHIBANA, KUJITOA KWA MOYO WOTE BILA KUJALI ULIMWENGU....
UTAKUTAZAMAJE NA PIA RAFIKI NDO MSIRI WAKO.........JE YUPI NI RAFIKI YAKO WA UKWELI?
(MTAG ) HAPA AJE ATAZAME VIDEO YA RAFIKI LINK IPO KWA BIO YANGU☝🏿🙌🏿🤍 INAKUPELEKA MOJA KWA MOJA YOUTUBE.
#Rafiki
Changing the future of Tanzania 🇹🇿 ✨
My ♥ @ibraah_tz I love you!!
Wewe ndio (Rafiki) wangu wa ukweli loves you bebe You are my best friend as well as my lover, and I do not know which side of you I enjoy the most. ..Nakupenda.''
Post a Comment