Diamond Platnumz "Lazima Nifanye Show O2 Arena, Je Watanzania Wangapi Wataingia?"



Msanii Diamond Platnumz ameweka wazi tamaa yake ya kufanya show kwenye moja ya Arena maarufu ulimwenguni iliyopo nchini Uingereza, o2 Arena ambayo wasanii tokea Nigeria wamekuwa wakiijaza mara kwa mara.

Diamond Amedai shida sio Kufanya show o2 Arena, ila je watanzania wangapi wataingia kwenye Arena hiyo,tofauti na wenzetu wenye utajiri wa watu wanaoishi ughaibuni.

Hivi ni kweli kujaa kwa show za nje za Wanigeria ni kwa sababu ya utajiri wa wanaigeria wenzao walioko nje ama ni muziki mzuri?


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post