Burna Boy aka African Giant amekuwa mwimbaji wa kwanza kutoka Nigeria kuujaza ukumbi wa Accor Arena mjini Paris Mara Mbili. Burna Ameuza Tiketi zote za tamasha lake la SpaceDrift kwenye ukumbi unaoingiza watu 20,000. Awali Burna Boy aliwahii kuujaza ukumbi huu Novemba 10, 2021.
Post a Comment