Big Brother, msanii Dully Sykes amekoshwa na EP ya @diamondplatnumz "First Of All" yenye jumla ya ngoma 10. Amebainisha kuwa EP hiyo ni kiboko.
@princedullysykes ameeleza hayo kupitia insta story yake, "Nimeisikiliza #FOA ya Diamond Platnumz... Kiboko!! 🔥🔥💪".
Ikumbukwe EP ya Diamond namba zake sio za mchezo mchezo tangu ipakiwe kupitia Digital Platforms mbalimbali. Diamond aliachia rasmi EP hiyo Machi 11.
Post a Comment