@officialbabalevo ameonesha kumpinga moja kwa moja @mwijaku na kusema kwamba hafai kuwepo Kwenye kiti cha usemaji wa shirikisho la Muziki Tanzania.
“Tuzo za BET mwijaku alikuwa mstari wa mbele kumpinga Diamond na kutaka watanzania wampigie kura Burnaboy aende akawasemee wa Nigeria”
Post a Comment