Kutoka Instagram page ya mwanamuziki @rayvanny , ameamua kumtaja msanii wake kutoka record label yake ya Next Level Music {NLM} @macvoice_tz kama msanii bora mpya katika game ya bongofleva (best new artist).
VannyBoy ameshare hilo kwa kuambatanisha na fact kadhaa ikiwemo record zilizo wekwa na msanii huyo katika kipindi cha miezi mi4 tangu ametambulishwa rasmi kama msanii wa NLM, jambo ambalo mwanamuziki @diamondplatnumz ameliunga mkono kwa kumpa taji la ufalme.
C©✍🏾@keviiiy.iam
Post a Comment