Mange Kimambi Adai Kumchangia Wema Sepetu Anunue Gari ni Upumbavu Uliyopitiliza




Reposted from @mangekimambi_ Ila Watanzania sometimes sijui mkoje yani….

Mnakumbuka mlivyoanza kumchangia Wastara nikawaambia msimchangie because ni upumbavu, this time naomba niseme kuwa hata kumchangia Wema Sepetu ni upumbavu uliopitiliza, Ni bora hata ile ya kumchangia Wastara kuliko hii kumchangia Wema. Hii ya Wema ni utaahira uliopitiliza. Na kama umechanga jijue we ni mmoja kati ya mataahira wa taifa. Hapa mnapigwa na wapigaji wa mjiniiii!!!

It’s nothing personal against Wema, I like Wema. Ila mimi kama dada yenu wa taifa mnapokosea kama watanzania lazma niwaweke sawa….




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post