Unakumbuka kwenye red carpet ya Usiku wa Mahaba Ndi Ndi Ndii meneja wa WcB wasafi @sallam_sk alitutajia herufi ya J' kama herufi ya kwanza ya jina la mpenzi wa mtangazaji @ammygal_tz kutoka wasafi media..?
Sasa taarifa ikufikie kuwa watangazaji wawii kutoka Wasafi media @jamal_april ambaye ni mtangazaji wa kipindi maarufu cha #TheStoryBook kupitia @wasafitv na mfanyakazi mwenzake @ammygal_tz ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha #TheSwitch kupitia @wasafifm ni kama ameweka wazi kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi ambapo kupitia kipindi cha #refresh ya wasafi tv @jamal_april mesema pia kwa uwezo wa Mungu huenda mwaka huu akafunga ndoa
Post a Comment