Haji Manara Awapiga Kijembe Simba "Mwambie Atoa Milioni 20 Katika Ile Bilioni 85 Mpige Rangi Makao Makuu yenu"




Ameandika Haji Manara Kwenye Ukurasa Wake wa Instagram:

"Nyie Banchikicha c mwambieni katika zile B 85 za michongo atoe hata Milioni ishirini tu apige hata rangi?

Mnashindwa hata na Magofu ya kale kule Kilwa 🤪🤪🤪" Haji Manara


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post