Ameandika Wema Sepetu Baada ya Aristote Kumsema Kuwa Amefulia Wakati Irene Uwoya Akitembelea Range Rover Wema Sepetu Anatembelea Uber:
"Wacha nikuweke kabisa kwa page yangu upate kufurahi... maana nimekaa sana mdomoni mwako.... Kutwa huishi kunitaja....
Kurequest nako ni K vile vile maana nakutanaga na mashabiki pia nikiwa kwenye Uber na Bolt... And by the way, miaka miwili sasa sina gari na mbona maisha fresh tu... Mkitembelea nyinyi ma Range inatosha Aristotee... Sio mbaya....
Ila ifike muda mnipumzishe basi maana Im nat in a competition na mtu yoyote in my life... Niko na deal na Wema wangu tu... Sijawahi kushindana na mtu... Always stood on my own.... Nashkuru..." Wema Sepetu
Post a Comment