Mtu Wangu Ndoa Inachangamoto zake Lakini Haziondoi Faida Kubwa Zitokanazo na Ndoa




Anasema japokuwa Ndoa ina changamoto zake lakini haiondoi faida ambazo hutokana na Ndoa. Mdau ametoa wito kwa Vijana kuacha woga kwa kuwa wanaweza kuimudu Familia hata kwa kipato kidogo

Ametaja faida za kuoa ikiwa ni pamoja na kuwa na matumizi bora ya Fedha. Anasema wasiooa wanaweza kutumia Fedha ovyo lakini ukiwa umeoa utafikiria Familia na kuwa na Nidhamu ya Fedha

Kuoa kunakupa Usalama wa Afya yako kwa Magonjwa ya zinaa ambayo hutokana na Ngono Zembe. Pia, Mtu huwa na Afya nzuri kutokana na kupata mlo kamili tofauti na mtu akiishi peke yake.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post