Mtangazaji B Dozen Ateuliwa Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Tamasha la Serengeti (Serengeti Music Festival)




Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amefanya uteuzi wa wajumbe wa Kamati ya Tamasha la Serengeti (Serengeti Music Festival).

Mtangazaji wa EFM B Dozen ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Waziri Innocent Bashungwa kuwa wajumbe wa Kamati ya Serengeti Music Festival

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Dkt. Hassan Abbasi imesema kuwa uteuzi wa wajumbe wa kamati hiyo kwanza utasaidia kuratibu tamasha hilo la kitaifa lenye dhima ya kuwaleta wasanii pamoja.

Chini ni Orodha Kamili ya Wajumbe wa Kamati hiyo




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post