Kumekucha...Country Boy Afuta Picha zote za Konde Gang Kwenye Ukurasa Wake


Ni headlines za rapper @countrywizzy_tz ambae anazidi ku clear the air kuwa yeye sio member tena wa KondeGang, baada ya kufuata asilimia kubwa ya picha alizowahi kupiga akiwa ndani ya record label hiyo katika ukurasa wake wa Instagram.

Kwa sasa ukipitia ukurasa wake wa Instagram @countrywizzy_tz utakutana na post 4' tu ambapo moja ni ya mwaka huu huku post nyingine zikiwa za mwaka jana, ambapo picha mojawapo ni ile aliyopiga na mwanamuziki wa nigeria @davido.

Cc.@keviiiy.iam




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post