Hatimaye Imekuwa Rasmi Sasa, Mwanamuziki Country Boy Amejiondoa Konde Gang


Rasmi Amemaliza Mkataba Na Label Yake Ya Zamani #KondeGang Baada Ya Kuwa Katika Label Hiyo Kwa Muda Kidogo

Ukurasa Rasmi Wa Label Hiyo Umethibitisha Taarifa Hiyo Kwa Kuandika............"TAARIFA: Mkataba Kati Ya Konde Music Worldwide Na @countrywizzy_tz Umemalizika Hii Leo Tar 8 January 2022.

Kuanzia Leo Country Wizzy Atakuwa Msanii Anaejitegemea Baada Ya Kufikia Makubaliano Ya Pande Zote Mbili.

Konde Music Worldwide Inamtakia Kila Lenye Kheri Country Wizzy Kwenye Career Yake Ya Music Pamoja Na Maisha Kwa Ujumla 🙏

All the Best Wizzy!! #Kondegang4U




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post