Fahyma: Sasa Hivi Mimi Mke wa Mtu



MWANAMAMA Fahyma ambaye ni baby mama wa msanii Rayvanny amevunja ukimya baada ya kuulizwa juu ya ahadi yake kwamba mwaka 2021 usingepinduka bila kuolewa.

Fahyma ameulizwa; “Fahyma vipi kuhusu ile harusi uliyotuahidi?

Fahyma amejibu; “Tayari bwana, sasa hivi mimi ni mke wa mtu…”

Baada ya kumwagana na Rayvanny ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa kiume, Fahyma ambaye ni mwanamitindo aliahidi kwamba, mwaka 2021 hautamalizika bila kufunga ndoa, lakini umepita kimya wala hajafunga ndoa yoyote.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post