Aliyemtishia Nape Nnauye (sasa Waziri wa Habari) kwa bastola (Machi 23, 2017) amepandishwa kizimbani akiwa ni miongoni mwa maofisa saba wa polisi wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamisi na kuchukua fedha zake TZS milioni 70.
HT: Mwananchi
Post a Comment