January 30 mwaka huu msanii @officialzuchu aliachia wimbo wake wa SUKARI, ndani ya miezi 10 wimbo huo,umefanikiwa kupata zaidi ya views milioni 60M na hii inamfanya kwa sasa kuwa msanii wa kwanza tokea Tanzania mwenye wimbo ambao si collaboration kufikisha idadi hiyo ya Views.
Nyimbo zinazofwatia ni JEJE uliotoka mwaka 2020 wenye views milioni 59M na Sikomi uliotoka miaka 3 nyuma wenye views milioni 53, zote za msanii @diamondplatnumz
Hasa kupitia insta story yake, msanii Zuchu ameamua avimbe kidogo, ikumbukwe kuwa kwasasa yeye ndiye msanii wa kwanza tokea nchi ipate uhuru kuwa na wimbo (sio Kolabo) wenye views nyingi YouTube.
Post a Comment