Kulingana na page rasmi zinazo Toa habari na updates kuhusu wasanii @wizkidayo na @burnaboygram kwa pamoja zinaeleza uwepo wa collabo kati ya wakali hao kutoka nchini nigeria hivi karibuni.
Wawili hao wamekua na muunganiko mzuri kwa sasa ,wakionesha kushirikiana katika baadhi ya matamasha /tour wanazofanya nje ya nigeria, huku wote wakitajwa kuwania tuzo kubwa kabisa duniani za 'Grammy 2022'.
✍🏾@keviiiy.iam
Post a Comment