Wasafi Waongoza Chat Boomplay


Kampuni ya Boomplay leo imetoa orodha ya Wasanii waliofanya vizuri zaidi mwaka 2021 huku Wasanii kutoka Lebo ya WCB Wasafi wakikimbiza kwenye chati hiyo.

Wasanii waliofanya vizuri zaidi ni kama ifuatavyo katika vipengele.

A. Wasanii wa kiume waliongoza
1. Rayvanny (Wasafi)
2. Mbosso (Wasafi)
3. Alikiba (King's Music)
B. Wasanii wa kike waliongoza
1. Zuchu (Wasafi)
2. Nandy
3. Anjella (Konde Gang)

C. Wasanii waliotafutwa zaidi.
1. Diamond Platnumz (Wasafi)
2. Harmonize (Konde Gang)
3. Rayvanny (Wasafi)

D. Nyimbo zilizoongoza kusikilizwa.
1. Zuchu - Sukari (Wasafi)
2. Marioo - For You
3. Mbosso - Baikoko (Wasafi)

E. Nyimbo zilizoongozwa kupendwa.
1. Zuchu - Sukari (Wasafi)
2. Rayvanny - Number One ( Wasafi)
3. Mbosso - Baikoko (Wasafi)

F. Nyimbo zilizofikisha stream milioni 1 kwa haraka zaidi.
1. Diamond - Naanzaje (Wasafi)
2. Zuchu - Sukari (Wasafi)
3. Macvoice - Nenda (NLM)

G. Wasanii chipukizi walioongoza.
1. Macvoice (NLM)
2. Jay melody
3. Rapcha

H. Makundi yaliyoongoza.
1. Mabantu
2. Rostam
3. Weusi




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post