Kwa Mapinga vipo viwanja vya size tofauti, kuanzia sqm 400 bei yake tshs 7 milion, sqm 600 kwa tshs 10 milion, sqm 800 kwa tshs 13 milion, sqm 1600 kwa tshs 25 milion, sqm 2000 kwa tshs 30 milion, eka nzima kwa tshs 60 milion.
Kwa Bunju vipo viwanja 2. Cha kwanza kina ukubwa wa sqm 700 bei yake ni tshs 25 milion, na cha pili kina ukubwa wa sqm 1000 bei yake ni tshs 45 milion.
Biashara hii haina dalali/udalali.
Mpigie mhusika kwa 0758603077, whatsap 0757100236
Post a Comment