Uzalishaji wa Pombe ya Banana Wasitishwa Kwa Kutokidhi Viwango vya Ubora



Ripoti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeonesha pombe aina ya Banana haifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na kuongezewa kiwango kikubwa cha kemikali ya Asetic Acid
-
Serikali imefikia uamuzi ya kusitisha uzalishaji wa pombe hiyo inayotengenezwa na kiwanda cha Tanbasi Investment kilichopo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro
-
Wilaya ya Rombo imetajwa kuwa na matumizi makubwa ya pombe zisizo rasmi ambazo zinachangia matukio ya kihalifu na migogoro ya ndoa




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post