Shamsa Form Alia "Hamisa Mobetto Umetuletea Matatizo Makubwa"



“Sasa hivi wazazi wengine wanatamani wapate mkwe kama Rick Ross huku wanasahau wametulisha vipolo tangu utotoni, tuna mitumbo mikubwa kama kabati la kuhifadhia vitumbua, English nayo hatupatani dah😂😂

“Dah! Hamisa umetuletea matatizo, wanaume zetu hawana thamani sasa hivi-” #shamsaford

Tangaza nasi 0714604974



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post