Rihana Akanusha Kuwa Mjamzito "Kila Mwaka Mnanizalilisha"


Hivi karibuni kumezuka Rumors kuwa @badgalriri (Rihanna) na mpenzi wake @asaprocky wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza, na hii imekuja baada ya ukurasa wa Twitter wa @theacademy kutweet ishu hiyo.

Hasa kuna DM ya shabiki wa mwanamuziki huyo imeenda viral sana kwenye social media,shabiki huyo akiomba kuhudhuria baby shower ya msanii huyo.

Rihanna amejibu “hamkuja kwenye baby showers 10 za mwanzoni!! Kila mwaka mnanizalisha!!”



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post