Rayvanny Afunguka Kuchukizwa Muheshimiwa Rais Kutomtaja Wasanii Waliochaguliwa Afrima


Msanii #Rayvanny aweka wazi kuchukizwa na kitendo hiki cha jina lake kutokujumuishwa kwenye orodha ya washariki katika TUZO, na orodha hiyo akapewa Mhe. Rais kwaajili ya kuwapongeza.

Una mtazamo gani juu ya hili⁉️


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post