Rapper Namba Moja Bongo Rosa Ree Atangaza Kuachua Album




Tegemea Kukutana Na Album Ya Msanii @rosa_ree Mapema Mwanzoni Mwa Mwaka 2022, Rosa Ree Ameshare Hayo Katika Insta Story Yake Akiandika “Whenever Someone Listen To My New Album😋😏 Cant Wait To Release It. Beginning Of Next Year😎”

Pamoja Na Kuweka Wazi Taarifa Hiyo Rosa Ree Hajataja Jina La Album Hiyo, Tarehe Atayoiachia Wala idadi Ya Nyimbo Zitakazopatikana Kwenye Album Hiyo




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post