Ofa!ofa! Kiwanja Bei ya kutupwa: Mapinga jirani na Bunju




Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 900 (mita 30/30) kinauzwa bei ndogo sana kwa bei ya TSH 9m badala ya bei ya kawaida ya tsh 14m kutokana na shida inayomkabili huyu Muuzaji.

Kiwanja kipo mtaa wa Kimele jirani na Kimere Hotel (resort) na kipo na huduma zote na pia ni mjini kabisa. Ni km 2 tu kutoka main road (Dar to Bagamoyo Road).

Tunahitaji mteja mwenye hii hela kwa haraka amkwamue huyu Muuzaji kwenye shida.

Kwa taarifa zaidi piga 0758603077


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post