Mwigiza Dorah Afunguka "Sijawahi Fanya Mapenzi Mimi Bado Mma"



Mwigizaji maarufu hapa Tanzania @dorahofficial katika mahojiano na DizzimTv (Class Room) amefunguka kua yeye bado ni bikra pia sababu za yeye kupelekea kua bikra.Katika mahojiano amefunguka haya:•

"Mimi ni Maria ani namaanisha Mimi ni Bikra sijawai kufanya mapenzi na mwanaume yoyote na pia nina mahusiano yangu najua watashangaa inakuaje na mahusiano huku bado bikra 'NDIYO SIJAWAI' mtu wangu utakuta nimejiandaa kila kitu afanye ila anaishia kuniangalia tu hua inanikwaza Mara zote sipendi mtu anionee huruma"-Ameongea Dorah


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post