Mashabiki Wahoji Gari za Diamond Platnumz Kutokuwa na Namba Mpaka Leo



Usiku wa jana kwenye uzinduzi wa Wasafi Bet, zimeonekana Gari za DiamondPlatnumz Roll Royce, Cadillac escalade zote mbili zikiwa hazina PlateNumber.

Mashabiki wanauliza, Kwa nini mpka hii leo hazina Plateunmber Gari mpya za Diamond?


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post