MWANAMAMA Masha Love ambaye amejizolea umaarufu mkubwa Bongo kutokana na matiti yake kwa kuyaachia wazi bila kuyavalia kitu ndani, ameweka wazi kuwa, hajafanya upasuaji (sajari) ya mwili wake kama wengi walivyoamini.
Masha anasema kuwa, hakufanya hivyo alivyosafiri hivi karibuni kwenda Uturuki kwa sababu anayapenda
mno matiti yake.
Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA, Masha Love anasema kuwa, yupo vizuri na anamshukuru Mungu kwa sababu kila kitu kwake kinakwenda sawa na anajipenda mno kwa kila hatua anayopiga kwenye maisha yake.
Anasema kuwa, anakwenda kuwa mmoja wa wanawake warembo Bongo, wanaojielewa na wenye pesa ndefu mjini.
“Sijafanya sajari wala nini, napenda matiti yangu na sijafanya chochote, najipenda mwenyewe na ninajiamini sana maana najua huko mbeleni nitakuja kuwa mtu mmoja mwenye pesa ndefu sana, watu wakae kwa kutulia,”
anasema Masha Love aliyezaa mtoto mmoja na Dokta Kumbuka kabla ya kumwagan
Post a Comment