MabodyGuard wa wasanii wa Bongo wanachekesha sana, sasa huyu BodyGuard wa Rayvanny ilikuwaje mpaka akapigwa Roba ya Mbao kule Mbeya, yani mtu unalipwa ili kumlinda Rayvanny, harafu Unakabwa wewe kwanza, hii ni aibu kubwa.
Mtu yoyote aliyeshuhudia hili tukio mbeya atueleze ilikuwaje maana Tunaona mapichapicha.
Ingawa mpaka sasa Rayvanny hajafunguka kilichotokea lakini hii inaonesha jinsi gani walinzi wake walivyo rojorojo, walinzi kama vile wana ugonjwa wa kifaduro au Unyafuzi, Hivi angekuwa Muddy Mnyama wa harmonize wangesogea kweli hawa watu wa Mbeya?
Ray Vanny Fukuza hao, wanakula ugali wa bure, Tambua kwamba wewe ni Brand Kubwa hivyo unatakiwa uwe na ulinzi wa maana.
Post a Comment