Jina na Picha ya Rapper Kutoka Marekani Limefika Katika Kilele Cha Mlima Kilimanjaro


Jina na picha ya rapper kutoka +1 marekani #RickRoss kwa pamoja vimefika katika kilele cha mlima mrefu zaidi barani Africa ,kutoka Tanzania Mllima Kilimanjaro.

Hivi karibuni mwanamuziki huyo mkubwa kutoka marekani alitangaza kuja kufanya ziara katia vivutio vya utalii nchini, ambapo kufuatia hilo hifadhi ya taifa imeweza kumkaribisha kwa kupeleka picha na jina lake katika kilele cha mlima Kilimanjaro.

C©✍🏾@keviiiy.iam




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post