Mpiga picha wa CEO wa Wasafi na Msanii @diamondplatnumz Maarafu kama @lukambaofficial ameondoa utambulisho kama mpiga picha wa msanii huyo kwenye ukurasa wa instagram.
Sasa kumekuwa na tetesi hizi za muda mrefu kuwa @lukambaofficial ameondoka katika lebo hiyo na kama unakumbuka hivi karibuni kuliibuka tetesi hizo kuwa mpiga huyo amefungua kampuni yake binafsi.
Post a Comment